Ingawa nmekosea mara nyingi Ingawa nmeumia mara nyingi Nilivovipoteza idadi yake haiesabiki ILA NAAMINI BADO NAFASI IPO ILHALI nipo hai napumua nina nguvu nina nia nina sababu ya kuanza upya #nimejisamehe
No comments